3.5 Million Dollars=5,600,000,000/= Tshs ambayo ni sawa sawa na noti za elfu kumi kumi 560,000...noti moja ya elfu kumi ina sentimeta 13.5.......13.5*560,000=7,560,000cm ambayo ni sawa na 75.6kilometres ukizipanga moja moja...horizontally utazipanga mpaka bagamoyo na bado utabaki na chenchi,kutumia morogoro road utazipanga mpaka kibaha,na kurudi ukizipanga hadi kariakoo tena.....kama utazipanga vertically(lazima uzishikize na kitu kama kamba ili zisimame,na uzigundishe vizuri)...utajikuta upo Mesosphere ambako kuna baridi ya hatari,utakufa...mbaya zaidi hamna ngazi ya kufika huko...........mshahara tu nikiupanga unaishia mlangoni,pesa za watu wengine zinavuka hadi mikoa,kudadeki......hizi pesa za hiyo ghorofa zingekuwa na maboya,ukizikanyaga unafika mafia chaap na kurudi kwa ruti ingine