Habari zenu wote?
Natarajia kuanza safari yangu na kuweka vituo vya kulala katika miji hii ifuatayo naomba kujua jina la hotel/guest house/camping site yenye ulinzi,safi na upatikanaji wa chakula.
Nitashukuru endapo nikijua na gharama zake pia sambamba na mawasiliano yake.
Mwanga
Hedaru
Lushoto
Segera
Nasubiri majibu yenu.