Wacha hiungue huko si ndo waliko choma nyumba za wamasai heti zipo ndani hifazi ?
wanajf kwa wale waliopo ngorongoro kuna taarifa kwmb kuna hotel ya kitalii inaungua.na tatizo liliipo ni ukosefu wa vifaa vya zima moto.waliopo karibu na tukio naomba mtupe taarifa zaidi!chanzo cha habar ni clouds fm

Angalau labda roho yangu itatulia wakati nasubiri 2015asigwa, kuiombea kuungua haisaidii! Wanakuwa wamekata insurance! Chukua hatua, ng'oa mafisadi, period!