Noriega Jr
Senior Member
- Apr 12, 2014
- 168
- 59
Hahahaahhaahahaa hii kweli aiseeeeHapa kwetu tunashindwa kuwasaidia hata watoto ombaomba tu
Nimecheka sana.....!Wahudumu wanajuaje huyu mbwa kafumaniwa
Si umesoma hapo juu,nimejiuliza sana mmmhNimecheka sana.....!
Mh leo kuna operesheni ya kuuwa mbwa ofisini kwetu jamani.
Mkuu hebu acha matusi kuna binadamu wengine hatuwezi kwenda huko wewe unatutangazia unapeleka chihuahua wako, tutakuloga!Dah nina kimbwa changu hapa home ngoja nikifanyie mpango wa pasport na visa hapa kiende kula bata ughaibuni
Labda anakuwa na majeraha ya kupigwa baada ya kufumaniwa....!lkn swali msingi inakuwaje mbwa wa gharama namna hiyo afumaniwe au wanaachwa wazurure km mbwa koko...?Si umesoma hapo juu,nimejiuliza sana mmmh
Heheheh nimechekaje hapa nilipo ,acha tucheke maisha mafupiLabda anakuwa na majeraha ya kupigwa baada ya kufumaniwa....!lkn swali msingi inakuwaje mbwa wa gharama namna hiyo afumaniwe au wanaachwa wazurure km mbwa koko...?