Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 876
- 662
Saivi pm wamejaa foleniMkuu huku sio kujipigia pass ya mwisho kweli?
Umenizalilisha sana mkuu tumbaku unaijua lakin wewMaskini akipata matako hilia mbwata!Wenzio wanakula bata kila day,wewe hadi uuze tumbaku? Any way,pale tandale pale kuna sehemu inaitwa kambi ya fisi,patakufaa muuza tumbaku
huko siko mm
Kwakweli mkuu anaitafutia ajira PM yakeSaivi pm wamejaa foleni
Maneno ya wabongo wakikosa bwanaAkili za Mbongo hawazi mbele...
Itakua kweli nimetuma message namsalimia hajajibu mpaka muda huuSaivi pm wamejaa foleni
Hahahaaa mpaka Auze Tumbaku... Mvua ikikata Anarudi umasikiniMaskini akipata matako hilia mbwata!Wenzio wanakula bata kila day,wewe hadi uuze tumbaku? Any way,pale tandale pale kuna sehemu inaitwa kambi ya fisi,patakufaa muuza tumbaku
Baba yao ni melia hotel zanzibarZanzibar kuna
Essque zalu Zanzibar
Valder azam luxury hotel
Breezes beach resort
Park Hayyat Zanzibar
Residences hotel
Duuuu..nitalifikilia hilo mkuu nikitoka kula bata kwanzaNakudhalilisha wapi! Wewe hadi uuze tumbaku ndio ule bata? Kwanini usiwaze kununua shamba lingine uonge kilimo? Huoni kama unatutia hasira sisi tusiokua na mitaji mikubwa kama wewe? Acha ulimbukeni.
Kaniuzi huyo boya!halafu usikute anaishi kwenye nyumba ya udongoHahahaaa mpaka Auze Tumbaku... Mvua ikikata Anarudi umasikini