Hotel ya bei rahisi zanzibar ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotel ya bei rahisi zanzibar ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by m0h4mm4d, Dec 15, 2011.

 1. m

  m0h4mm4d Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilipenda kujua je ni hotel gani nzuri na yenye bei rahisi hapo zanzibar ..
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  mkuu zbr mji wa kitalii...hoteli ya kawaida inaanzia dola 65...kwa dola hamsini vyoo vya nje
  Nakushauri pale malindi ulizia Funguni Hotel wapo na viwango vizuri na bei ni kama 65,000/=
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama unataka kukaa pale pale mjini, nenda Mtaa wa Shangani (Mji Mkongwe) kuna Maszons hotel, pale utapata chumba safi kwa 50,000 tu
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,616
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Ameuliza hotel ya bei raihisi lakini hajasema bei rahis ni bei gani. Kwa mfano Zanzibar Grand Palace Hotel to me bei zao ni rahisi maana pana vyumba vya dolar 150 pia
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  kama ni hizo hata Zanzibar Ocean view kwa Makungu atapata kwa dola 100-standard room
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Uliza golf hotel bei ni tsh30000 karibu kabisa na gymkhana
   
 7. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,511
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  St Monica mkunazini karibu sana na madukani Darajani self haizidi 40 double, isiyo self single unapata hadi 15000/= (mwenzenu kasema rahisi jamani)
  Grand palace ni dola 80 single na 130 double but its worth it, Mazsons sina hakika lakini ni kati ya dola 60 au 70 single
  pia tembelea hizo za Shanghani ni mjini na sio bei mbaya
   
 8. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Golf hotel anaweza akapata hata kwa 20,000 pameshuka kwa sasa ivi
   
 9. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bwawani Hotel, vyumba vikubwa kama sebule, kuanzia 35,000 unapata, tena utakuwa karibu na disko na baa ya rock cafe
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Afadhari akalale pale vitanda vinapiga kelele kila ukijipindua.
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Modern Island Hotel, Bei inaanzia elfu 24 mpaka 35 na vyumba viko poa kabisa full AC, msosi mzuri utapata Lukumani Restaurant
   
 12. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,477
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mlandege elfu ishirini
   
Loading...