Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,785
- 15,113
Kwa hiyo ukiwa na 41 hutakiwi kuomba kazi, hamko serious nyie na ndio maana mnatumia gmail account
Wewe ingia kwenye email mbon swali hilo amejibuNimekwambia nataka kazi au nimeuliza jina la hotel? Acha umuch know kijana. Nina intentions zangu kulifanya tangazo liwe linavutia . Au hujasoma advertisement hata form 1?
Ulitaka watumie ya website info@Kwa hiyo ukiwa na 41 hutakiwi kuomba kazi, hamko serious nyie na ndio maana mnatumia gmail account
Anataka achomekwe atakua yuko kule Kisiwa NduiSio sawa kutumia hii lugha.
Wewe tuma hapo kwenye Gmail recommendation utazikuta huko hukoSasa Recommendation letter jobless anaipata wapi? Hajawahi kufanya kazi, nani atamreccomend kama siyo mnatafuta lawama za kutengenezewa barua za kufoji?.
Cover letter hazihitajiki? Duh
We tuma km hutaki kazi acha wenzio wanatumia,You want to scan ID za watu wakati hata jina la Hotel hujaweka, 3 star Hotel gani haina jina au address? watu wana haki ya kujua wanatafuta kazi wapi, nyie ndio wale hata mishahara hamlipi
FactMkuu ili utoboe uwezo sometimes una matter haijarishi umetoka wapi km una uwezo kwanini usipewe nafasi?, uwezo wangu ndio unaonifanya kila interview niwaache vinywa wazi interviewers wakimbilie kwenye kipengele Cha na je! ungependa tukulipe shilling ngap kwa mwezi?
Onyesha uwezo wako sio kutegemea sympathy, sympathy for the devil ukijiweka hivyo mtu mwingine hata km wewe una uwezo anakuacha anachukua wengine sababu ni jinsi ulivyojiweka
Ndugu, sio kila mtu ni mropokaji kama wewe. Watu wanapouliza maswali. Na kama si muhusika na huwezi jibu accordingly ni vyema kukaa kimya haswa kwenye tangazo la mwenzio kama hili. Details ni muhimu. Huku kuropoka kwako, kwenye kila comment ya mtu hapa si facebook.Wewe ingia kwenye email mbon swali hilo amejibu
Acha dharau Facebook ni Choo au?Ndugu, sio kila mtu ni mropokaji kama wewe. Watu wanapouliza maswali. Na kama si muhusika na huwezi jibu accordingly ni vyema kukaa kimya haswa kwenye tangazo la mwenzio kama hili. Details ni muhimu. Huku kuropoka kwako, kwenye kila comment ya mtu hapa si facebook.
😂😂😂imebidi hadi niangalie umeingia lini jf. (Sorry that’s not part of my concern)
Acha kiherehere. Kama unawashwa na ndukum basi tafuta basha akukune.Wewe tuma hapo kwenye Gmail recommendation utazikuta huko huko
Yaani jibu la hovyo kweli. Kwa hiyo group of companies ishindwe kuwa na mfumo wake wa Email? Hahaha!. Ina maana MeTL and the like, wao ni wapuuzi kuwa na mfumo wao? Acha ubabaishaji.Ipo sababu ya kwann tumefanya hivyo moja wapo ya sababu ni kwamba its a group of companies sio hotel pekee so baadae chances the same CV’s will be prospected on other vacancies on different companies.
Kutoombwa chochote si tatizo. Disclosure ya personal data ni risk. Si kila taarifa zako ni za kuachia tu kwa kila mtu. Taarifa huweza kutumiwa vibaya na wale wasio na nia njema.Application ni BURE, hakuna mtu yeyote ataombwa kiasi chochote for a job position.
So Now You Know.
Applicants should be between ages 20-30 yrs with working experience of 40 years🤣🤣🤣🤣Sasa Recommendation letter jobless anaipata wapi? Hajawahi kufanya kazi, nani atamreccomend kama siyo mnatafuta lawama za kutengenezewa barua za kufoji?.
Cover letter hazihitajiki? Duh
Umemaliza chief.Kutoombwa chochote si tatizo. Disclosure ya personal data ni risk. Si kila taarifa zako ni za kuachia tu kwa kila mtu. Taarifa huweza kutumiwa vibaya na wale wasio na nia njema.