Idadi watu wangapi? na bajeti yako kiasi gani kwa conference package? HUWEZI KUPEWA ushauri hewaniNawasalimu wana jamvi.
Naomba kujua kwa wenye experience, ni hoteli gani mjini Addis Ababa Ethiopia ni nzuri kwa conferences na bei nzuri i mean reasonable.
Naomba munipe majibu ndugu zangu musiniambie ni google.