Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Rikaz

Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
86
Reaction score
47
Katibu mkuu TAMISEMI ameipa manispaa Morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa na kuwawajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo.

Chanzo: TBC habari

 

Attachments

  • 1449146573378.jpg
    83 KB · Views: 11,529
Wanasema imejengwa kwenye eneo la wazi
 
dah flomi inabomolewa???? Tena haina hata miez 3 tangu ifunguliwe
 
Hotel inaitwaje. Ila hii sio nzuri mtu amejenga kamaliza huduma zimeanza afu inabomolewa. Siasa hizi
 
Imejengwa juu ya bomba LA mafuta LA TAZAMA no lazima ibomorewe tu
 
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
 
Katibu mkuu tamisemi ameipa manispaa morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa nakuwaajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo. Source TBC habari

Mkuu usitupe habari nusunusu, toa sababu ya huyo specie kutaka hilo jengo libomolewe.
 
kama serikali ipo serious mbona isiwaahughulikie waliotoa kibali na toka msingi unawekwa wao kimya tu huo ni uka toon
 
Katibu mkuu tamisemi ameipa manispaa morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa nakuwaajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo. Source TBC habari

Nasikia ni mali ya mmoja wa vigogo wa TRA waliokamatwa..
 
Ahahaaaaaa.
Waje na hapa Banana kituoni,kuna jamaa alipewa hapa eneo kwa ajiri ya uzalishaji wa kuku,sasa yeye kajenga mafremu mengi ya biashara na anakodisha kwa tshs laki 600,000 kwa mwezi na ana frem zaidi ya mia3(300)+mabaa yaliyojazana hapa yani ni shida tupu.
 
Inauma nipo Moro nikiliona tu naumia ila hakuna namna
 
Wanasema imejengwa kwenye eneo la wazi

Sasa kama vp c waongee na mmliki wa nyumba waelewane ili kuendeleza hilo eneo c nilawaz au serkali inataka kufanyia nn hilo eneo saiv na hawana ata hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…