hot(yamotoo): mobile tv ya simu za java (za bei rahisi)

dah inapiga kaz nikaongeza na aljazeera dah ful kula khabar vip hakuna ulopata yenye mpira katika pitapita zako
 
Chief vipi hauwezi uka tupatia na apps zingine kama za watch tv kwenye simu zetu za bei ndogo(java) mkuu kama hii ya togo?. SHUKRAN UMETISHA
 
umetisha bro imekubali tena very clear japo nimepewa kwa 2wiks sa cjui zikiisha watanikatishia huduma?.
Al in al umetisha mzazi

Hii ipo cracked we wakikwambia lipa click lipa kwa sms tu itaplay
 
Samsung Galax

Galaxy ina tv zaidi ya 100 ni wewe tu kudownload play google store. Ila kama still unataka kuinstall kwenye simu yako ya galaxy itabidi uinstall kwanza java midp emulator then utaweza run mafile ya java j2me
 

Kitu imekubali. thanks mkuu chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Natumia sony ericson W595,nimeweza kudownload lakin nikitaka kuplay inanipa option ya kusubscribe kwa sms, nikakubal lakini bado haikubali,..msaada zaidi aisee!
 
Natumia sony ericson W595,nimeweza kudownload lakin nikitaka kuplay inanipa option ya kusubscribe kwa sms, nikakubal lakini bado haikubali,..msaada zaidi aisee!

Yap mara kwanza inakataa unasubscribe 2nd time tv ile ile inakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…