mimi nina-dawnload inaniletea mambo ya buy wakati mmesema bure na wananiambia kabisa Tsh1200,au ndio yaleyale bure gharama.
vp nokia 5700
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.
Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali
Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue shukrani mkubwa ki2 kimekubal kwny samsung sgh-j700 . Ila inastuck stuck sana hamna njia ya kuzuia huku kuganda ganda?
shukrani mkubwa ki2 kimekubal kwny samsung sgh-j700 . Ila inastuck stuck sana hamna njia ya kuzuia huku kuganda ganda?
nina samsung gt 5270k itakubali?
Kuganda ganda ina maana network haina speed sana. hii aplication haihitaji network ya kasi sana kama una 3g 100% itaplay na kama una edge itabidi utafute edge ya speed kwa eneo lako
Mfano mimi eneo langu edge ya voda inafika hadi mwisho yaani 35KBps so inaplay vizuri
hapo nimeanza kukuelewa. Halafu nashindwa kuelewa ktk hii simu yangu.mimi na2mia voda sasa mwanzo wakati wakutumia internet kalikuwa kanatokea kale ka alama ka 'E' lakini tangu wiki iliyopita kanatokea kaalama ka G badala ya E kama zamani hafu naona ndio itakuwa chanzo cha hata kasi ya net kupungua. Sasa sijui tatizo ni nini? .Ila kuna siku nilikuwa naingiza ingiza macode ya samsung niliyokayapata kwny website flani nahsi pengine ndio chanzo. Nisaidie kama kuna solution ya kukarudisha kale ka E
Duh japo inaload sana lakin imekubali kwene ki 2700classic changu alafu hazina sauti
Zina sauti maybe chanell ulizopick . Make sure kama jamaa hapo juu kuna E na sio G
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo.
Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama simu yako inakubali
Chanel zinauzwa ila kupitia application hii utazipata bure
Maelekezo
-download togo tv
-install
-lugha english
-nchi russia(au unayoipenda)
-mtandao akos(au unaoupenda)
- ukitaka kuplay watataka ununue click ok then chagua tena hio tv utaona inaplay
-enjoyyyy
Download hapa
http://shaduduz.xtgem.com/files/togo.jar
swahiba fanya utaratibu uweke na za pc ili tu enjoy wote
me kwng haifungui japo edge nokia 5310 xp music!help me mkwawa
dah inapiga kaz nataman ingne xaxa