Bryson Thomas
Member
- Dec 30, 2019
- 14
- 16
nimependa tu uthubutu wako kijana.. kudos kwako mzee and all the best
Kuwa na huruma basiii khaaa!Daah hiyo picha uliyoweka sasa. Mashati ya hivyo siyapendi aisee na hicho kitambaa cha kung'aa tena lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini hivyo mwenzio kavaa kapendeza we hata huoni? 😅
Hv humu JF hakunaga jukwaa la Fashion? watu wapenda fashion wakutane humo watambiane.nimependa tu uthubutu wako kijana.. kudos kwako mzee and all the best