...Yaelekea Tanzania hatujafikia ukichaa wa kushangilia soka kiasi hiki....Namkumbuka shabiki mmoja wa iliyokuwa timu ya Reli Morogoro akiitwa Yamungu nae alijitahidi kwa kiasi chake!!....Inapendeza wadada wetu bongo nao wahamasike...