lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Achana na Godaddy kama upo serious, tafuta provider wengine kama Namecheap.
Na hosting shared zipo nexusbyte utapata za dola moja (kama 2300 kwa mwezi)
Kama bado ni ghali, cheki website inaitwa lowendtalk zipo za kutosha za dola 5 kwa mwaka sema ni vikampuni vidogo visivyoaminika, ebay pia unapata.
Sawa mzee grupu admin....hata mimi ni admin lakini nashindwa kuliendesha grupu vizuri kila saa chaja inaisha.. ni kazi sana kuwa admin....lawama zote kwangu....Samahani nje ya mada.
Kuna simu zenye uwezo wa battery zaidi ya 6000mAh? Na bei zake zikoje maana nahitaji simu ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya whatsApp
ASANTE mkuuGodaddy wanafanya hosting na domain wanatoa ila iyo $0.99 ni kwa mwaka tu baada ya apo bill utayoletewa mwaka unaofata utaishia kutelekeza web yako lakini Godaddy wako vzur sana kwenye domain na host we nunua tu Mkuu
Sawa mzee grupu admin....hata mimi ni admin lakini nashindwa kuliendesha grupu vizuri kila saa chaja inaisha.. ni kazi sana kuwa admin....lawama zote kwangu....
Wingi wa Mah si kigezo pekee cha ukaaji Chaji. Simu zipo zenye 7000mah na kuendelea ila unakuta sometime zinapitwa ukaaji Chaji na simu za 5000 ama 4500 mah.Samahani nje ya mada.
Kuna simu zenye uwezo wa battery zaidi ya 6000mAh? Na bei zake zikoje maana nahitaji simu ambayo inauwezo wa kukaa na chaji muda mrefu kwa matumizi ya whatsApp