Hostel zipo,karibuni

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Hostel Hostel
kuna nafasi ya Hostel maeneo ya Kigamboni Magogoni
Hostel iko karibu kabisa na kituo cha Basi Maduka au Hanters.
Ulinzi na Maji nina vya uhakika na iko ndani ya Fensi
Chumba kimoja kina vitanda vinne hivyo kila kitanda ni Tshs 50,000.00 kwa Mwezi.
Kwa mawasiliano piga 0755419798

 
Vile vile Huduma ya chakula kwa bei nafuu inapatikana.
 
Chumba mwezi bei gani ?
 
biashara za hostel awamu ya magufuli.. zitakumbwa na ukata sana maana magufuli anajenga mahostel kwa fujo...

mfano waliowekeza kwenye hostel maeneo ya survey, sinza kwa ajili ya wanafunzi wa udsm imekula kwao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…