Zipo nyingi sana hosteri
Cha kufanya ukifika chuo pale waambie wewe unataka discontinue, maana hakuna namna nyingine, baasi utakuwa umepata hosteri
Nipigie 0652921659 kwa ajili ya hostel nje ya NIT
Habari zenu wakuu
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa NIT kwa mwaka wa masomo 2015/2016 natafuta hostel ambazo zipo nje ya chuo kwa mwenye ufahamu juu ya hilo anisaidie.
Natunguliza shukrani zangu za dhati

Hosteri ni nini mdogo wangu,umeiandika mara mbili kabisa.
Zipo nyingi sana hosteri
Cha kufanya ukifika chuo pale waambie wewe unataka discontinue, maana hakuna namna nyingine, baasi utakuwa umepata hosteri
Nipigie 0652921659 kwa ajili ya hostel nje ya NIT
Watu waliochaguliwa nit majina yapo Web ipi
Web ipi nimeingia nit.ac.tz hakuna kitu
Hostel nazozifaham n 60000 kwa mwezi so kama upo teyari ni PM
Ni PM nikujulishe ramani ya hostel sasa tuelewane kama kuna 10% percent
hostel zipo mimi pia nimechaguliwa hapo kuna 50,000 kwa mwezi mtaa unaitwa jitegemee kama vp nicheki humu 0719721910
sawa mkuu nikutafuta
hizo hoster chumba kimoja kinachukua watu wangapi