Hostel karibu na DIT

Hostel karibu na DIT

Mlt

Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
33
Reaction score
14
Wakuu ningeomba mwenye kujua hostel iliyopo nje ya DIT, iwe karibu. Aweze kunisaidia mawasiano ya mwenye hostel. Nipate jua kama ntapata nafasi!! Shukran
 
Lumumba ipo 4000 tsh per day
Fire ipo laki 1.20 kwa mwezi
 
  • Thanks
Reactions: Mlt
Mkuu huwezi kupata hostel ya bei rahisi karibu na DIT kwa sababu ya mazingira ya chuo. Chuo kipo eneo ambalo wanaoishi hapo wengi wao wana hela za kutosha, nakushauri tafuta chumba ukapange ili kuokoa gharama sisizo rasimi. Jitahidi kutafuta chumba maeneo ya Magomeni, Temeke/Buza/Tandika/Maduka mawili au Kimara. Haya maeneo yote utaishi kwa ku enjoy.
Nami nimesoma hapo nina uelewa japo kidogo, hostel binafsi zina gharama kubwa sana bora utafute chumba upange tu.
 
Chumba kitakuwa bei gan kaka!! Na kpoje na huduma zake pia!!
 
Magomeni jiandae na watt wa mjini kulinda nguo zako usikatize usk jangwan umeisha kama kashikashi utaki nenda kimara magomeni tena nyuma kwa macheni room bei poah ila utajuta tena cku izi polisi wanalinda zinazopitisha mda wa kufunga utajuta utaacha kodi
 
kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hususani wanao tokea mikoani huwa wanapewa rooms, bachelor mwaka wa1 huwa wanapangiwa chang'ombe kuna block lao moja pale ada ni Tsh. 100,000/= kwa mwaka.

Ushauri: ni bora ukakae hostel za chuo kwa mwaka1/semista1 ili usome mazingira ya Dar then ukapange.

Karibu mjini
 
Yah ndio ipo hivyo
 
Back
Top Bottom