Hostel karibu na DIT

Hostel karibu na DIT

Magomeni jiandae na watt wa mjini kulinda nguo zako usikatize usk jangwan umeisha kama kashikashi utaki nenda kimara magomeni tena nyuma kwa macheni room bei poah ila utajuta tena cku izi polisi wanalinda zinazopitisha mda wa kufunga utajuta utaacha kodi
Bro kwan vip hadi kujuta??? Cjakuelewa hapo. N vyema utueleweshe poa!!
 
kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hususani wanao tokea mikoani huwa wanapewa rooms, bachelor mwaka wa1 huwa wanapangiwa chang'ombe kuna block lao moja pale ada ni Tsh. 100,000/= kwa mwaka.


Ushauri: ni bora ukakae hostel za chuo kwa mwaka1/semista1 ili usome mazingira ya Dar then ukapange.

Karibu mjini
Bro chumba kinabeba watu wangap chuo hapo hiv!!
 
We mgeni wa dar ama mbona una maswali ya kiduanzi

OK kwa mwendo kasi ndani ya dk 10 DIT by the way mpe hi Prof kondolo ukienda .
Yan we ukishaona maswali n ya kiduanze ujue anaeuliza sio mwenyej! We ulishakuw mwenyeji ndo mana waona maswali ya kiduanzi!!! Ila cha msingi hapa ni kuelekezana tu. Japo maswali mengne yatakuw yanaudhi kwa waliokwisha tangulia, ila kwa faida wanaotarajia kuanza mwaka cku za karbuni!! Shukran
 
Back
Top Bottom