Hostel for college and university student at Kinondoni B

Hostel for college and university student at Kinondoni B

Joined
Sep 15, 2015
Posts
93
Reaction score
10
100,000 per month hostel at kinondoni b,new one 100,000 include water,electricity.also back up generator is available for 24 hours, our policy is one bed one student.now we are accepting 2 month terms up to 3.price is un negotiable.please dial 0676019019 for those interested with this offer
 

Attachments

  • 1444054210685.jpg
    1444054210685.jpg
    89.3 KB · Views: 301
hi kazi nzuri sana, sasa weka geographical location ya Kinondoni B ni wapi watu wakufikie ulipo
 
hostel nzuri japo vyumba vimebanana pia kama mnaweza badilisha masinki ya choo vyoo vya kukalia kwa sehemu za watu wanaokuja wengi sio good idea na jinsi watz walivyo wachafu ma uti na magonjwa mengine yakufikia.
 
jerhy kinondoni B karibu na Ben pub we ukitaka kuja nicheki kwa number hizo hapo
 
Ni kweli Idea nzuri saaana.
Ila naungana na mdau hapo juu,vyoo vya kukaa sio vizuri kabisa kwenye Hostels.
 
hyo gharama ni kwa mtu mmoja au wanaweza kuchangia, na chumba kinabeba wanafunzi wangapi?
 
chumba kinabeba watu wanne na hiyo ni gharama ya mtu mmoja.kitanda mmoja hakuna kubebana hapo.pia acheni mazoea wewe choo cha kukaa ni universal nenda ktk college au university zote za mbele kama hautakutana navyo.na unasema hayo sababu unahisi maji ni ya dawasco tuuh pekee wakati ya kisima yapo.pia kila chumba na choo chake
 
Swala LA vyoo ni muhimu.huwezi linganisha mazingira ya mbele na ya tz. Mbele usafi ni wa uhakika but tz sio kivile.
 
chumba kinabeba watu wanne na hiyo ni gharama ya mtu mmoja.kitanda mmoja hakuna kubebana hapo.pia acheni mazoea wewe choo cha kukaa ni universal nenda ktk college au university zote za mbele kama hautakutana navyo.na unasema hayo sababu unahisi maji ni ya dawasco tuuh pekee wakati ya kisima yapo.pia kila chumba na choo chake

Kuwa muungwana kiasi kwenye kujibu.Wewe unafanya biashara na hapa ni suala la kufahamishana.
Sio kila kinachofanya Ulaya na hapa kifanywe.

We huu Ukimwi ulivyojaaa na vyoo vya kukaa,kinadada wakiwa hedhi unafikiria inakuwaje.
Hao unaosema huko Mbele wanabima kubwa za Affya na Ukimwi kwao ni percentage ndogo sana na wanatambulika kuliko huku kwetu humjui alienao na asienao.

na hata hivyo huko mbele wote tumeenda,vyoo vya kuka vikiwa public basi wakati wa kujisaidia unakuta mwenye kujali afya yake hakai kwenye sink hilo hata siku moja,nakuambia kwamba najua na nimepita kwenye mfumo wa vyoo hivyo,ni kero.

Halafu hujaambiwa issue ya Maji,hata vyoo vya flat maji yanatumika yale yale.

Kama ni marketing manager wa mradi basi kazi ipo aisee

Mradi mzuri,Idea nzuri,Ila vyoo sivyo.
 
mh kila chumba na choo chake ni wakati sasa wanafunzi mkajitatambua na kuelewe maana ya usafi maana pana sheria kila mtu anahusika na usafi ktk chumba chake mwenyewe
 
Zanzibar spice kwanza tambua wadada hawakai pamoja na wavulana ktk hizi hostel
 
Back
Top Bottom