Naomba kufaham hospitali za private chato, ninashida ya kung'oa jino leo, mwenye contact zao au mahali zilipo atakuwa amenisaidia zaidi. Za serikali hazifanyi kazi. au nikipata contact za doctor yoyote wa huko pleaseeeeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.