Hospitali ya wanyama

Yaani sisi kwetu kuna siku tuliona kuku mgeni yuko nyuma ya nyumba yetu si tuka mchukua tukapita nae kwa majiran kuulizia kama ni wao walivyo sema hawamjui Kisu kikahusika Fasta hatukuchelewesha kumla.
 
Na wakija nyoka atajua kama kafuatwa. Shida yao uwaambie tu nyoka alionekana eneo hili. Kama ni nyoka mnoko wana mpaka liroboti la kumkamata.
 
Ngoja nimtafutie sehemu ya kuishi ahaamie huku kwetu maana wanauawa kila siku
 
Tuna sheria nzuri sana ya wanyama nchi hii.
 
Yaani siku nilipoona nyoka akisindikizwa arudi majanini nilizima sigara. Nikabaki najiuliza ingechukua sekunde ngapi kwa wabongo kumponda kichwa yule nyoka.
Na pia nilipata picha kwanini nyoka wa Bongo wana usongo na hawana masihara na mtu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…