Hospitali ya Temeke

Hospitali ya Temeke

Shytown

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2025
Posts
468
Reaction score
792
Jana kuna mgonjwa kaenda kufunga kidonda (dressing) cha kidole cha mguu kaambiwa Bima yake haina hiyo huduma ya bandage.

Bima aliyonayo ni hii ya wafanyakazi (NHIF); alielekezwa akanunue bandage apeleke ili wamfunge; ikabidi afanye hivyo

Kwa wanao husika na Hospitali ya Temeke naomba Muongozo.....
 
Sio temeke tu ni kote, elastic crepe bandage ni ya kulipia cash maana NHIF hailipi hiyo accessory..
 
Sio temeke tu ni kote, elastic crepe bandage ni ya kulipia cash maana NHIF hailipi hiyo accessory..

Sijaongelea Elastic crepe bandage ya watu wanao tumia zaidi kwenye mazoezi/Michezo nk

Nimeongelea Bandage ya kawaida ya kufunga kidonda kilichopo kwenye kidole cha mguu... AMBAYO hutelewa kwa wingi kwenye dispensary, iweje Hospitali ya Wilaya waseme haiko kwenye BIMA?
HII PICHA INAONESHA YAPO MENGI YANAYOENDA NDIVYO SIVYO KWENYE HIYO HOSPITALI.....
 
Back
Top Bottom