Huwa siku zote naamini kuwa mwisho wa matatizo yote ya tiba ni hospitali yetu ya taifa Muhimbili.Lakini nimejikuta napata shaka hasa baada ya DCI Robert Manumba kuwa anahudumiwa na hospitali ya binafsi Aga Khan.Kwa kiongozi mkubwa kama huyu nilitaraji apate huduma zake MNH na ikishindikana apelekwe nje.
Hapo kwenye RED hujasomeka mkuu!Yawezekana ni seroconerted wanaona hata akienda pale MNH there will be no changes. Haiwezekani akawa na malaria tu siku zote hizo haiimprove. Au ana other medical conditions lakini nawasiwasi na kwanini govt iko reluctant kufanya maamuzi kumpeleka India kwenye hospital yao. Am sorry kama nimewakwaza.
hapo kwenye red hujasomeka mkuu!
Acha kukurupuka, Dr. Ulimboka si mwajiriwa wa Hospital za serikaliWanajua pale watakutana na Dokta Ulimboka
Labda polisi hawana imani na MNHHuwa siku zote naamini kuwa mwisho wa matatizo yote ya tiba ni hospitali yetu ya taifa Muhimbili.Lakini nimejikuta napata shaka hasa baada ya DCI Robert Manumba kuwa anahudumiwa na hospitali ya binafsi Aga Khan.Kwa kiongozi mkubwa kama huyu nilitaraji apate huduma zake MNH na ikishindikana apelekwe nje.
Acha kukurupuka, Dr. Ulimboka si mwajiriwa wa Hospital za serikali
Labda polisi hawana imani na MNH
Agakhan ina vitendea kazi wakati muhimbili hakuna!!