Kituo cha afya cha Themi/Kambini/ nanenane arusha saa saba na nusu usiku,nilipeleka mgonjwa,Nurse akagoma kabisa kufungua milango akitutaka tuondoke na kurudi asubuhi maana Doctor AMELALA na hawezi kumwamsha!!
Kituo cha afya cha Themi/Kambini/ nanenane arusha saa saba na nusu usiku,nilipeleka mgonjwa,Nurse akagoma kabisa kufungua milango akitutaka tuondoke na kurudi asubuhi maana Doctor AMELALA na hawezi kumwamsha!!
Tatizo mwenye funguo wa sanduku ni huyo huyo daktariPale hospital kuna sanduku la maoni unge andika barua ukaiweka kwenye sanduku..
Nje ya uzi.:Mkuu ungekamilisha uandishi wa hilo neno "gov"! Maana nimestuka sana.Nimeamka na mauzauza leo.Ukizidiwa ukaamua kukimbilia hospital hizo za gov ikiwemo amana au m/nyamala hesabu tu unaenda kufa..
Dadake jolie kafa hapo juzijuzi nahisi ni uzembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfunguaji wa hilo sanduku ni nani?Unaamini maoni hayo yangefika panapo stahili?Pale hospital kuna sanduku la maoni unge andika barua ukaiweka kwenye sanduku..
Sema siku gani, na terehe ngapi tuwabaini hao Nurse na Daktari wake, kwamba walikuwa wanafanya nini wakati huo.Kituo cha afya cha Themi/Kambini/ nanenane arusha saa saba na nusu usiku,nilipeleka mgonjwa,Nurse akagoma kabisa kufungua milango akitutaka tuondoke na kurudi asubuhi maana Doctor AMELALA na hawezi kumwamsha!!
Yale maoni huwa wanasoma kweli au ni danganyaPale hospital kuna sanduku la maoni unge andika barua ukaiweka kwenye sanduku..
Hawa masister du mbwembwe za Insta tu eeh nilishangaa nilivyosikia kaenda kujifungulia KanyamalaUkizidiwa ukaamua kukimbilia hospital hizo za gov ikiwemo amana au m/nyamala hesabu tu unaenda kufa..
Dadake jolie kafa hapo juzijuzi nahisi ni uzembe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nkashangaa sasa..alikosa hata kubangaiza laki kadhaa akaenda hata kaprivate kadogo dahHawa masister du mbwembwe za Insta tu eeh nilishangaa nilivyosikia kaenda kujifungulia Kanyamala
Sent using Jamii Forums mobile app