Hospitali ya Muhimbili Tanzania yakumbwa na ukosefu wa damu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Mgonjwa wa hospitali ya muhimbili.jpg
mama na mwanae wagonjwa.jpg


Hospitali ya muhimbili Tanzania yakumbwa na ukosefu wa damu

Huku ulimwengu jana ukiadhimisha siku ya kimataifa ya utoaji damu kwa kujitolea,Hospitali ya Muhimbili ya umma imekumbwa na ukosefu wa damu ..

Kaimu mkurugenzi mtendaji wa hospitali hiyo, Mwakaiya Makani amewataka watanzania kuweka desturi ya kujitolea kutoa damu ili iweze kusaidia wagonjwa pamoja na kuokoa maisha ya watu mahututi.

Jana balozi wa China nchini Tanzania Yu Youging alitoa damu katika hospitali hiyo

Mahitaji ya damu kwenye hopitali hiyo ni chupa 100 na 130 kwa siku, lakini damu inayokusanywa kwa siku ni kati ya chupa 60 na 100.

Damu ni maisha damu ni uhai, toa damu yako imsaidie mwengine
chanzo.CRI Kiswahili

HOSPITALI YA MUHIMBILI KUNA MAJIPU MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI YATUMBUWE HAYO MAJIPU HOSPITALINI MUHIMBILI.
 
Back
Top Bottom