hiyo hosptal mambo mengi wana jiendesha wenyw pasipo mwongzo.wa wizara ya afya....!!! nakumbuka mwaka jana tuliomba field za medical pia waka tunyima sababu ya msingi hawana.....
Elf kumi tu kwa ajil ya vifaa tena hospital ya serikal jaman toeni tuu msiwe mnalalamika mbona mnaenda kutoa mabilion kwa kujifungulia hospitali za private ...
Tena ukiwa puctual umewapa hela ya vfaa mara moja huez kutukanwa
Waoneeni huruma wenzenu ata nao wajipatie vimia mbil mia tatu .khaaaaaa! Punguzeni ubahili na kulalamika.
siku hizi private mama kujifungua kawaida ni 300000 na kwa operation ni 1000000.
nakushangaa unaulizia 10000??
we unatoka wapi?
10000 ni muhimu kuliko mtoto aliyepo tumboni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.