chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 55
- 103
DuNimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima.
Pale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?
Hii sio sawa maisha ya binadamu hayataki mzaha kama mnaoufanya. Mnacheza na maisha ya watu.wenye mamlaka litazameni hili,watu wanaweza kuichukua serikali yao kwa sababu ya wajinga wachache waliopewa dhamana.
Ni kweli kuwa baadhi ya Madaktari bingwa hutembelea baadhi ya hospitali kwa muda fulani. Yaweza kuwa kila wiki mara moja au kila mwezi mara moja.Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima.
Pale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?
Hii sio sawa maisha ya binadamu hayataki mzaha kama mnaoufanya. Mnacheza na maisha ya watu.wenye mamlaka litazameni hili,watu wanaweza kuichukua serikali yao kwa sababu ya wajinga wachache waliopewa dhamana.
Maana yake utoe kikamata daktari asiondokePale mapokezi wameniambia kwamba daktari ndo anakaribia kuondoka hivyo kwa leo mtoto hatotibiwa hadi jumatano ya wiki ijayo daktari ndo atakuwepo siku hiyo, ila kama unaweza kulipia fast struck uje kesho nimejiuliza sana ni kwa sababu mtoto anatumia bima au ni maslahi binafsi ya daktari?
Kama vile halipwi mshahara monthly, ama kweli maisha yetu yamewekwa rehani na wajanja wachacheAu Jumatano ndiyo hufanya huduma za kibingwa bure. Siku zingine ni za kulipia???
Ummy Mwalimu alikuwa active sana kipindi kile, hivi sasa si yule tenaWapuuzi kabisa!
Hili nalo waziri mkalitizame
Hii ni bongo mzee,au umesahau?Kama vile halipwi mshahara monthly, ama kweli maisha yetu yamewekwa rehani na wajanja wachache
Nimepeleka mtoto hospitali ana tatizo la sikio, nimefika hospitali ya rufaa mkoa Morogoro mnamo saa saba mchana baada ya hospitali ya Mazimbu kuniambia kuwa hawana specialist wa magonjwa ya sikio, baada ya kufika hospitali ya rufaa ya mkoa Morogoro kitengo cha bima.