HOSPITAL YA "KAIRUKI" Dept ya MENO na MADAWA!!! KASHFA NZITO!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Kumekuwa na malalamiko ya wagonjwa hasa wanaokwenda kutibiwa KAIRUKI hasa katika kitengo cha meno, kuhusu DR anayehusika na kutibu meno kuwa anakauli chafu, vitisho na kejeli.Anapotibu mgonjwa hutoa kauli za vitisho ambapo inampelekea mgonjwa kuogopa habari zilizotufikia hapa zinasema Dr huyu kwa siku hutibu wagonjwa 10 tu tena kwa mda maalum, ambapo hii inapelekea kulazimisha mgonjwa atibiwe kwa presha.

Katika dept ya dawa! Hawa watu wamekuwa wakibana dawa hasa kwa wale wanao2mia bima, zikiandikwa dawa 3 tofauti wao wanakupa dawa mbili.
MJIREKEBISHE!
 
Kumekuwa na malalamiko ya wagonjwa hasa wanaokwenda kutibiwa KAIRUKI hasa katika kitengo cha meno, kuhusu DR anayehusika na kutibu meno kuwa anakauli chafu, vitisho na kejeli.

Na hii umeona ni jambo la kutuita ili ili utuambie kuna kashfa nzito Kairuki? Siku ukisikia daktari wa Kairuki amebaka mgonjwa wodini sijui utaipa kichwa gani hiyo thread.
 
Tuwekee jina lake basi, No room for silly Doctor popote pale duniani, huyu nafikiri ana akili kama watu wa CCM kwamba hata asipobadilika tabia yake bado watu wataenda kwake kutibiwa
 
kumekuwa na malalamiko ya wagonjwa hasa wanaokwenda kutibiwa kairuki hasa katika kitengo cha meno, kuhusu dr anayehusika na kutibu meno kuwa anakauli chafu, vitisho na kejeli.anapotibu mgonjwa hutoa kauli za vitisho ambapo inampelekea mgonjwa kuogopa habari zilizotufikia hapa zinasema dr huyu kwa siku hutibu wagonjwa 10 tu tena kwa mda maalum, ambapo hii inapelekea kulazimisha mgonjwa atibiwe kwa presha.

Katika dept ya dawa! Hawa watu wamekuwa wakibana dawa hasa kwa wale wanao2mia bima, zikiandikwa dawa 3 tofauti wao wanakupa dawa mbili.
Mjirekebishe!
hapo kwenye red...hayo malalamiko waliyatolea wapi???
 
Huyu mgonjwa wa meno mwoga, kaambiwa mwenyewe sasa anataka iwe umma mzima. acha woga.
 
Umeletea umbea na ww moja kwa moja bila kutafiti umeruka kuja kutupotosha hapa n thus why unaambiwa umtaje hata humjui.....take note that mimi nikiwa mmoja wapo wa wagonjwa waliofanikiwa kuhudumiwa pale hivi karibuni,pale madaktari wapo wawili na wanahudumia pale hadi saa mbili usiku. Hebu tuambie ni which other private hospital that utamkuta daktari hadi mda huo.

HONGERENI KAIRUKI HOSPITAL: U guys are doing some rly piece of nice work,huyu mtoa mada anataka tu kutupotosha hapa but hicho kitengo plus the two doctors waliopo pale are parfect!
 
Kumekuwa na malalamiko ya wagonjwa hasa wanaokwenda kutibiwa KAIRUKI hasa katika kitengo cha meno, kuhusu DR anayehusika na kutibu meno kuwa anakauli chafu, vitisho na kejeli.Anapotibu mgonjwa hutoa kauli za vitisho ambapo inampelekea mgonjwa kuogopa habari zilizotufikia hapa zinasema Dr huyu kwa siku hutibu wagonjwa 10 tu tena kwa mda maalum, ambapo hii inapelekea kulazimisha mgonjwa atibiwe kwa presha.

Katika dept ya dawa! Hawa watu wamekuwa wakibana dawa hasa kwa wale wanao2mia bima, zikiandikwa dawa 3 tofauti wao wanakupa dawa mbili.
MJIREKEBISHE!

Imekaa kizushi. Tafuta sababu ya mambo hayo. Yawezekana wewe ni mkorofi ukakutana na mkorofi mwenzio akakuzidi kete na ukaamua kumchomekea uchafu. Nimeshuhudia madaktari wazuri wakifanyiwa jeuri na wagonjwa na kufanya ufanyavyo. Hakuna watu wenye ushirkiano mzuri kama madocta wa meno kokote uendako, sembuse Kairuki ambapo mmoja wa vingunge wake ni Dentist makini mwenye kuaminiwa vile? Ulipeleka malalamiko kwenye ofisi inayohusika na malalamiko? jamani tusiharibu kazi za watu kwa ubinafsi wetu.
 
Tatizo kuna baadhi ya madaktari pale Kairuki sio rafiki wa wagonjwa, binanfi nilikwenda kutibiwa pale jioni kwenye saa 10.30 nikaingia chumba namba 21 kuna daktari wa kiume muhaya jina limenitoka kidogo alikuwa very rude yaani utafikiri alilazimishwa kufanya kazi, nilishindwa kumvumilia nikamweleza live kuwa kama daktari hutakiwi kuwa rude kwa wagonjwa na kama unaona umelazimishwa kufanya kazi ama unamatatizo yakifamilia basi usinge hudumia wagonjwa, nikatoka nikachukua file langu nkaenda reception nikawaambia siwezi hudumiwa na huyo daktari kama hakuna dokta mwingine wanirudishie pesa yangu niondoke, dada wa pale mapokezi akaomba msamaha kwa niaba ya hospitali ila akasema huyo daktari ndivyo alivyo watu wengi huwa wanamlalamika but uongozi hautaki kumwondoa kisa ni muhaya mwenzao.
nilipatiwa dakrati mwingine na nimeapa kutorudi tena pale
 
Sawa, hospitali ya wahaya ni lazima wahaya wengi wawepo kama wanazo sifa. Hata hospitali ya kihindi wahindi ni wengi pale, hospitali ya mchaga wachaga ni wengi pale lakini wanazo sifa? Hilo ndilo swali muhimu. Ulichokifanya was not very right - comfrontation. Uliamua kugombana naye, daktari wa meno anashauriwa sana awe anaongea na mgonjwa wake wakati wote anapofanya kazi ili kupunguza mazingira yenye hofu kwa mgonjwa na kuongeza thamani ya mashirikiano. Kuna wagonjwa hawataki hayo, wanataka akifika kwenye kiti daktari afanye kazi yake no discussion. Tena bahati mbaya wengine ni watumishi wa afya, wanawadharau madentist ati "Wang'oa meno" Ukiingia kwa dharau lazima naye atagangamala kulinda hadhi yake. Yaani usitaniwe hata kidogo? Mbona wengine wnamsifu huyo unayemkandia wewe? Kama binadamu alivyo dhaifu kwa namna fulani, huyo daktari anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini mfano wako umedhihirisha alichosema Zaleo kwamba wapo wagonjwa wa aina yako. Acheni kudharau watu na kazi zao. Kumkimbia hujasuluhisha, ungepeleka malalamiko rasmi kama unadhani ulikuwa sahihi ili kuondoa uozo pale kulikoni kueneza matatizo binafsi kwa kuyajengea hoja ya ujumla ili watu wote wamchukie. Mie simjui na wala sijawahienda pale, lakini niliwahifika Muhimbili napo nikaona daktari mmoja mgonjwa wa meno anamkomalia daktari wa meno, kosa: ati dentist anamfundisha namna meno yanyooza na namna ya kuzuia. Live nilimsikia dada yule daktari akimaka "Nimetibiwa na dentists wengi lakini sijakutana na dentist kama wewe, mimi nimekuja kutibiwa wewe unanilecture?" Je, katika hali kama hiyo ni dentist gani atakuwa radhi kuvumilia?

Kulaumu ni kuzuri ikiwa kualumu huko kunaleta tija. Bahati mbaya madentist wetu wanashughulika na wagonwa wa meno wenye afya na nguvu ya kugombana. Kama angekuwa gynecologist mbona hatusikii? Dentist hafanyi kazi peke yake chumbani ninawaona, mnaleta kadamnasi mauozo yenu sababu mnajua hamko sahihi na mlichokifanya kwani wasaidizi wa madentist wanakuwapo kushuhudia, tena mara nying jinsia tofauti ndio wakorofi nyie.
 
Kama ulishawahi kutibiwa pale kairuki chumba 21 sio kwa daktari wa meno mimi nilikwenda kutibiwa maradhi mengine tofauti na meno, huyu daktari nimetoa mfano kati ya wengine wa pale. naomba uelewe hilo na kwamba ni wahaya wanajaza wahaya sikusema hilo ila niliambiwa na dada wa reception kuwa huyo daktari ndiyo tabia yake yuko rude kwa wagonjwa na wameshalalamika kwa uongozi ila uongozi umeweka pamba masikioni hii ni kauli nilio ipata pale kairuki
 
Anaitwa Dr Lemi! Idara ya Meno! Pande la mtu hivi.
Mmh; hapana huyu daktari ninamfaham tena is my familly dentist. Ni dactari mzuri sana kati ya madentist ninaowafahamu.ila ni mtu serious sana na kazi yake .kama ulienda kwake ukitegemea kumuuzia sura kwa yule utachemsha.

Yule kazi zaidi. Acha kelele kwenye JF mwenzetu. Madactari wenye wa bongo wanateswa tu, vimishahara vyao ni soo. waonee huruma acha kuwanyanyasa.
 
Back
Top Bottom