Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 612
Nenda hapo hapo Muhimbili wapo vizuri lakini haujaelezea vizuri ukubwa wa tatizo lake . Poleni sana
Pia Ekenywa hospital pia wapo vizuri saana ingawa Wana gharama kidogo Ila Kama una bima wanapokea
Pia Ekenywa hospital pia wapo vizuri saana ingawa Wana gharama kidogo Ila Kama una bima wanapokea
Wapo magomeni mwembechaiWapo maeneo Gani hao watu ?
Wapo magomeni mwembechai
Bima anayo mkuu.
Vipi kuhusu hivyo vifaa pia vitatolewa kwa bima au unagharamia cash?
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu karibu pia na Regency hospital wanapima na kutoa vifaa kwa Bima mkuu. Nilikuwa hapo last year June 2019 kwa tatizo hilo .
wapigie kwa namba zao Kisha watakupa maelezo kamili. Ila wapo vizuri mnoo hata Mimi natibiwa hapo sikioEmbu karibu pia na Regency hospital wanapima na kutoa vifaa kwa Bima mkuu. Nilikuwa hapo last year June 2019 kwa tatizo hilo .
wapigie kwa namba zao Kisha watakupa maelezo kamili. Ila wapo vizuri mnoo hata Mimi natibiwa hapo sikio
Hapana Mimi nilikuwa na tatizo lingine ambalo ni ear infection.Ooh! Shukrani sana, nitawacheki nione. Hivi ulipewq vifaa vya kuongeza usikivu kwa bima ya Afya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mimi nilikuwa na tatizo lingine ambalo ni ear infection.