Hoseah submits escrow account probe dossier

Wanaahirisha tu maumivu... By the way, watakuja kuitoa ijadiliwe February. Najua wanakwepa effects kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa lakini pia kuwalinda wahusika wakuu ambao wengine ni candidates wa ugombea kupitia chama chao. Lakini sidhani kama itasaidia

Wana suala la katiba iliyochakachuliwa
Wana uchaguzi serikali za mitaa
Wana uboreshaji wa daftari la wapiga kura
Wana uchaguzi wa ndani wa chama
Then wana uchaguzi mkuu...

Hakyanani hawawezi toboa...
 
Reactions: BAK

Kwa kuwa mnaoana kimya kimya huko mtaani ina maanisha tanzania hakuna mapenzi ya jinsia moja, tofauti yenu na wazungu ni kuwa wao wako wazi ila ninyi ni wanafiki.

Toa use@*#nge wako mpumb@vu wewe kwahiyo unataka tukuf!re ilitupate misaada!!!
 
vinchi vya kiafrika vishenzishenzi kama Tanzania lazima ukute watendaji was serikali kutupa weledi na maadili na kujiingiza kwenye siasa,huyu mpuuzi kashaitwa ikulu na kumegewa mlungula for his silence..!
kafulila aache kutumika njaa yake itakuja kumtokea puani mwisho wa siku.
 
Last paragraph has the main reason why there is a delay on submitting the report.

Is this the para you are referring to?

  • Mr Makandege and Mr Sethi insist that the acquisition of the 70 per cent IPTL stake was aboveboard.
 
Joseph Makandege said the move was in contempt of court, adding that the matter had already been decided by the High Court of Tanzania.
 

  • the Prevention and Combating of Corruption Bureau has finally submitted its damning investigation dossier

    However, the PCCB chief did not disclose the contents of his report
Mhariri, kwa nini it is a "damning dossier," umejuaje?

How can you say it is a damning dossier if you agree that you don't know what's in it?

Hahahahahhaaaaaa...... Tanzania kuna vituko kwenye magazeti yetu haya jamani!
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahaha wewe kweli hamnazo!!!! ahadi zilizoshindwa kutimizwa katika miaka 9 iliyopita unategemea zitimie katika miezi 11 iliyobaki!!!! Keep on dreaming soon you would be able to arrive at the promise land (good life).

 
Pole kwa kuwa jobless ongeza jitihada za kujikomba labda kabla hajamaliza awamu yake atakurushia fupa upambane nalo (Katibu wa CCM wa Wilaya/Mkoa. Kukimbia umande ni kosa kubwa sana maishani.


Hili la mapungufu ya akili, nakiri, ndio maana mpaka leo niko jobless nikishinda humu jf!.

Pasco
 
Hamuwezi kutukatisha tamaa, mnaleta hoja na mikakati yenu ya kuchafua watu na kupandikiza chuki kwa watu na serikali yao, mnabahati mpo Tanzania humu, mnamtukana Mh. rais hamchukuliwi hatua vikaragosi nyinyi.
Hii nchi imesonga mbele mara 1000, hutaki acha au kaandamandane. Mnapayuka tu hovyo 24 *7 mmpo humu hamna kazi ya kufanya zaidi ya upotoshaji mnalipwa ili kupotosha umma na kusambaza udaku.
 
Serikali: IPTL bado wanatudai. Fedha iliyokuwa ikilipwa na TANESCO kwenye account ya ESCROW muda mwingine ilikuwa ikipelekwa pungufu na muda mwingine hatukupeleka kabisa fedha kwenye escrow account.
 
Pole kwa kuwa jobless ongeza jitihada za kujikomba labda kabla hajamaliza awamu yake atakurushia fupa upambane nalo (Katibu wa CCM wa Wilaya/Mkoa. Kukimbia umande ni kosa kubwa sana maishani.
No sikukimbia umande, kwa sababu muda wote ule tangu nina miaka 4, nimekuwa nikichunga mbuzi wa babu kwenye umande, kwa vile tunalala ndani na mbuzi, inanibidi kuamka saa 11 alfajiri kufungulia mbuzi kabla watu hawajaamka, huko nje nakuta ni umande tupu!.

Pia nimeelimika mpaka daasa la saba la UPE na nilipasi ila nafasi zilikosekana, wakati wote wa shule ya msingi, nilienda shule peku, na asubihi nilinawa miguu kwa umande, hivyo sio kweli nilkimbia umande!.

Hili la kurushiwa fupa CCM, ndilo ninalolisubiri, ndio maana nikaacha kazi ya mesenja pale kwa wale wazungu wa FCO waliokuwa wakilipa £ 4,000 ili kusubiria hilo fupa la CCM!, kwa sasa bado kwenye process ya kujiunga na CCM, kinachonichelewesha ni kusubiri kukabidhiwa kadi na Mwenyekiti IELO!.

Pasco
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Umeacha kazi yenye mshahara wa £4,000 ili nawe ukaungane na mafisadi nawe uwe bilionea kwa kupitia pesa za walipa kodi!!! Tamaa ya utajiri wa haraka haraka mbaya angalia tu usiishie pabaya baada ya kutupiwa hilo fupa. Inadaiwa jina lako liko katika short list ya uteuzi utakaofanywa kabla ya kumaliza awamu yake. Endelea na juhudi zako za kupigia debe mediocre performance.

 
Hivi hosseah si ndo aliitetea richimond iloondoka na lowassa?lkn kanyaboya hilo likaiburuza serikali ya kikwete na hadi leo prof wa kichinachina hatizamani uso na huyu mmasai lowassa!haku takukuru yenye ubavu wakusema na kutoa madudu ya serikali ya kikwete...maskini tanzania.
 
Toa use@*#nge wako mpumb@vu wewe kwahiyo unataka tukuf!re ilitupate misaada!!!

Tatizo nyie mnafilana kwahiari kimtaamtaa ila wazungu wametia katika sheria ila wote mnatenda dhambi ile ile ila nyie manaofanya kwa siri ni mahakimu wazuri kwa wale wanaofanya waziwazi.
 
Tatizo nyie mnafilana kwahiari kimtaamtaa ila wazungu wametia katika sheria ila wote mnatenda dhambi ile ile ila nyie manaofanya kwa siri ni mahakimu wazuri kwa wale wanaofanya waziwazi.

Tatizo lenu moja nyie mashog@ wa kibongo mik*_undu michafu, watumiaji wa hizo bak zenu tupo kweli!! Tutawatumia kuombea misaada kwa wazungu mwakani, anzeni kuisafisha vizuri kuanzia sasa. Tena kama wewe MBWA WA MANZESE andaa vizuri Bak hiyo, piga deki vizuri maana mwakani mabepari watagoma kutoa misaada mpaka tuwape kichwa kimoja na mimi nadhani wewe utafaa sana kuokoa jahazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…