Hoseah amekabidhi report, CAG ashambuliwa

Hoseah amekabidhi report, CAG ashambuliwa

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
235
Reaction score
1,275
Mchana wa Leo kwenye kongamano la TAPAC kuhusu rushwa kwa inchi za SADC, Dr Hosea kavunja ukimya kujibu swali la mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima.

Alitaka kujua hatma ya report ya Escrow Dr Hosea amejibu kwamba yeye alishakwishamaliza uchunguzi na amekwisha kabidhi report kwa waziri Mkuu kwa mjibu wa utaratibu, wakati PAC imemushambulia vijali Leo kwenye kikao Kaimu CAG Bw Mwakapalila kwa kuzembea kukabithi repoti wakati ofisi yake iliomba siku 45 Tangu march 20, 2014

Habari za uhakika zinaonyesha kuwa repoti ya CAG ilikuwa Tayari Tangu UTOUCH astaafu na ndio sababu spika Anna Makinda katika sherehe za kumuaga UTOUCH alisema kuwa report ya ufisadi wa Iptl kwenye Escrow account ingeshaangusha Mawaziri kadhaa kama pasingekuwa na Bunge la Katiba lililokuwa likiendelea

Kaimu CAG anatuhumiwa kuelekezwa na baadhi ya Vigogo wa Usalama wa Taifa wenye Maslahi na wizi huu kwamba andike upya ripoti hiyo kwamba akifanikisha watampigia chapuo awe CAG kamili hata kama umri haumruhusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom