Zak Malang JF-Expert Member Dec 30, 2008 5,404 234 Jun 20, 2011 #1 Yule Hosea wa Takukuru sasa hivi yuko live ITV katika kipindi cha Dak 45 akibwabwaja. Sijui wataruhusu maswali?Aulizwe ile ripoti ya Wikileaks kwamba alinukuliwa akilalamika kwamba JK anamzuia kuwashitaki baadhi ya mafisadi.
Yule Hosea wa Takukuru sasa hivi yuko live ITV katika kipindi cha Dak 45 akibwabwaja. Sijui wataruhusu maswali?Aulizwe ile ripoti ya Wikileaks kwamba alinukuliwa akilalamika kwamba JK anamzuia kuwashitaki baadhi ya mafisadi.