Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,868
Nilishawahi sikia kuwa kama mtoto wako atakuwa anasuasua kuongezeka urefu katika umri wa kubalehe unaweza ukamchoma sindano ya kustimulate pituitary gland ili izalishe hormne kwa ajili ya ukuaji.Je wataalamu wa sayansi ya binadamu KUNA UKWELI KWENYE jambo hili na hamna madhara? Msaada please tukatae au tukubali UFUPI HAUNA SOKO KWENYE ISSUE KIBAO.