Horizontal scyscraper seen it before?

Achana na hiyo design unaona hili jengo chini basi hao wahuni walilijenga ndani ya siku 19 (wiki 2 na siku 5) za kazi!.

Na bado jamaa wakaomba kibali wajenge mzigo wa Ghorofa 220 kwa Miezi 3 tu.

Kwenye kitabu "why the west rules now!?" mwandishi anakwambia majengo yaliyochukua miaka 200 kujengwa Ulaya nzima, Mchina kachukua miaka 30 kuyajenga na anaendelea!.

Achana na mchina aseh!.
 
Pretty amazing hao jamaa hao. Hivi huo ukanda hauna tsunami na mtetemeko? Maana naona wanachipua mjengo tu tena kuifata bahari
 
Pretty amazing hao jamaa hao. Hivi huo ukanda hauna tsunami na mtetemeko? Maana naona wanachipua mjengo tu tena kuifata bahari
tena yamewakumba zaidi ya 500 hao jamaa, sema ndio vile tena penye shida maarifa hupatikana!.
 
Ulaya hawapendi mijengo mirefu m majengo yao ni iconic.
 
Na kwa mnaohitaji nyumba,zipo Alibaba,ghorofa moja na za kawaida,unanunua wanakuja kuunganisha kwa masaa matatu na ni ya simenti,
Mchina hapana chezea
 
EvilSpirit, ]Hiyo kali.
Mlio karibu nao mngewashauri watafute siku moja ya "maonesho ya maajabu ya Gamboshi" ili nao maajabu yao yaingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu cha Guinness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…