geofmwemezi
Member
- Mar 21, 2013
- 12
- 1
Habari zenu wadau? kuna mtu anafaham hizi bachelo degree zenye hons zinavyopatikana? ni kwa sifa zipi mwanazuoni ana qualify kupewa hizi bachelor zenye hons?? k.v LLB(hons.), BBA(hons.)
n.k
hons ni mhitimu wa university aliyepata first class yenye background ya kutoshuka GPA kila mwaka Bila kuwa na historia ya supplimentary yeyote.
Si lazzima uwe na first class..unaweza kuwa na gentleman lakn GPA yako ilikuwa inapanda