burhan6196
Member
- Aug 23, 2018
- 65
- 84
Ivi honourable degree zipo? Zinakuaje?ili uipate ufanye nn? Ukiipata ina faida gani? IFM wanazitoa?
Ndio zipo, usipate sup wala carry over afuu gpa iwe inapanda kila mwisho wa semister,Ivi honourable degree zipo? Zinakuaje?ili uipate ufanye nn? Ukiipata ina faida gani? IFM wanazitoa?
Supp or carry Nina mashaka kidogo,ila uwe unapanda GPA per semester mwisho wa siku unapata Hon.Ndio zipo, usipate sup wala carry over afuu gpa iwe inapanda kila mwisho wa semister,
Hiyo ndio honourable degree
Utofauti wake ni nn?unamaanisha Honours au Honorary?
Hapo kwnye kupanda ndo kimbembe,mana kma mtu mwaka wa kwanza umepiga 4.7 utegemee uipandishe zaidi ya hapo kila mwaka?Ndio zipo, usipate sup wala carry over afuu gpa iwe inapanda kila mwisho wa semister,
Hiyo ndio honourable degree
Honours ni degree mtu anayoipata akiwa na GPA kali ambayo amemaintain high pass mark tangu mwanzo wa masomo yaani distinction-Kwa kilatini Suma cum Laude.Utofauti wake ni nn?
Umedanganya. Sio kila chuo wanatoa. Alafu hicho sio kigezo cha kupata nafasi ya kufundisha chuo.Ndio zipo..kuanzia GPA ya 3.8 hadi 5.0 kwa kozi yeyote..kila chuo zinatolewa.
Faida yake ni kwamba ukija baadae kuchukua masters utaruhusiwa kufundisha chuo
Kuna watu walikua na sap na wakazipata.Ndio zipo, usipate sup wala carry over afuu gpa iwe inapanda kila mwisho wa semister,
Hiyo ndio honourable degree
gpa yangu ilikua inapanda kila semister na sikupata, na sikua peke yangu... Hon inategemea na chuo sio kila chuo wana hayo mambo.Supp or carry Nina mashaka kidogo,ila uwe unapanda GPA per semester mwisho wa siku unapata Hon.
So mpaka uvitumie wewe, atavitumia mwandishi wa historia ya marehemu ukifilia mbaaaaaliiiiiiKuna vitu vimeandikwa kwenye vyeti vyangu hata sijui ntavitumia wapi....
Huenda kweli vikapata matumizi kipindi hicho kikifika.So mpaka uvitumie wewe, atavitumia mwandishi wa historia ya marehemu ukifilia mbaaaaaliiiiii
Unaweza kuipata hata kwa first degree?Ndio zipo, usipate sup wala carry over afuu gpa iwe inapanda kila mwisho wa semister,
Hiyo ndio honourable degree
Toa ufafanuzi basi. Kusema umedanganya haitoshiUmedanganya. Sio kila chuo wanatoa. Alafu hicho sio kigezo cha kupata nafasi ya kufundisha chuo.
Upepo wa Pesa!Umedanganya. Sio kila chuo wanatoa. Alafu hicho sio kigezo cha kupata nafasi ya kufundisha chuo.