Hongeta Dr Slaa Kwa Kutuletea NeNo "MAFISADI"

sandy candy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
490
Reaction score
89
Wakuu I hope mko poa.

Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa mh.Dr Slaa kwa kuyagundua majizi ya Ccm na kuyaita mafisadi.
Hebu turudishe mawazo yetu nyuma kwa ile list of shame ya Dr Slaa alipoyaanika majizi pale kwenye viwanja vya mwembe yanga (tena tuchunge mafisadi wasije kuviuza kwa wageni)na ku introduce jina la mafisadi..mpaka leo ccm ni maarufu kwa jina la chama cha mafisadi...wengine hukiita chama cha malori sababu husomba watu na malori ilo kujaza mikutano yao na kuwapatia shs elfu 5 hadi 10 plus isafiri wa malori na wali.

Dr.SLAA mungu akibariki sana endeleza mapambano na timu yako ya ukawa UKAWA tuyaondoe majizi ccm au maarufu kwa jina la magamba.

ASANTE WADAU.

MISUKULE NA MAGAMBA NAJUA MNABEBWA MNO KONA ZOTE iLA tulieni DAWA IWAINGIE VIZURI.
 
Makao makuu ya chadema kumejaa wanafiki na wapika majungu
 
Mwambie wanainchi wanataka sera kama ni UFISADI hiyo ni tabia ya mtu ata CHADEMA kuna mafisadi ila ni kwasababu hamna nafasi.
 
Sera ni nini pasipo kujua udhaifu ulopo! Wawezaje kuziba ufa pasipo ufa?
 
lumumba wakisikia jina dr slaa presha juu
 
Back
Top Bottom