Wa pili Dr. Harrison Mwakyembe, mbunge wa Kyela ambaye kwa tamaa ya madaraka kama walivyo wasomi wengi ndani ya CCM
alishawishiwa kuficha ukweli ili kumsetiri Jakaya Mrisho Kikwete,
mhusika mkuu wa sakata la Richmond. Wakati huo yeye alidai anaisetiri serikali, na kama fisi amezawadiwa mfupa na sasa katulia tuli mafichoni akiwa bize akimeza bila kutafuna safari hii giza lililotanda nchini likimsetiri. Wapiganaji, my foot !
tuendelee...........