Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,365
Tamko la serikali liko wapi?Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT)
Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara
Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya,
Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza kuhusu mapato na matumizi,
Juzi hapa viongozi wake wakateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya lakini baada ya kuona "Hela za bwerere" huko CWt wakakataa kwenda,
Sasa serikali ikaona ipige pale pale kwenye mshono,
Ikajitoa katika kuwatetea CWT, na Sasa walimu zaidi ya 1000 kwa miezi hii miwili tayari wamefanikiwa kujitoa katika chama hicho!
Na pia Kuna kuwa makato ya 2% yatasitishwa kwa wote mpaka pale taarifa itakapotolewa!
Kwasasa viongozi Wa CWT wanahaha, huku wakipita na tisheti mashuleni wao wenyewe na fomu ili kuwarubuni walimu wasitoke!
Ni uhuni wanafanya nenda kwa afisa utumishi wako jitoeTamko la serikali liko wapi?
Maana hata Mimi sikuwahi kujaA TUF 6 ya kujiunga ila nakatwa kibabe, wanachoita Ada ya uwakala
Na pia Kuna tetesi kuwa makato ya 2% yatasitishwa kwa wote mpaka pale taarifa itakapotolewa!
kuna Chama kingine cha Walimu kimeanzishwa
Kikapu kimetobokaKama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT)
Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara
Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya,
Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza kuhusu mapato na matumizi,
Juzi hapa viongozi wake wakateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya lakini baada ya kuona "Hela za bwerere" huko CWt wakakataa kwenda,
Sasa serikali ikaona ipige pale pale kwenye mshono,
Ikajitoa katika kuwatetea CWT, na Sasa walimu zaidi ya 1000 kwa miezi hii miwili tu tayari wamefanikiwa kujitoa katika chama hicho!
Na pia Kuna tetesi kuwa makato ya 2% yatasitishwa kwa wote mpaka pale taarifa itakapotolewa!
Kwasasa viongozi Wa CWT wanahaha, huku wakipita na tisheti mashuleni wao wenyewe na fomu ili kuwarubuni walimu wasitoke!
Na hata chama Chao Cha CWT ni special Dunia nzima hakuna chama Cha hovyo kama hichiWalimu wanashangilia chama chao kudhoofishwa nguvu na serikali???
Walimu wa nchi hii ni specie tofauti kabisa na walimu wa mataifa mengine.
Wanatakiwa kukisimamia kibadilike lakini siyo kushangilia kikishughulikiwa na serikali.Na hata chama Chao Cha CWT ni special Dunia nzima hakuna chama Cha hovyo kama hichi
Hivi vyama vya wafanyakazi ni wizintu wanawafanyia wafanyakazi.kuna Chama kingine cha Walimu kimeanzishwa
eiza wewe ni mfanyakaz wa hiko chama au.....so mi naona viundwe vyama vingine na watu wa chague wenyewe ili kuleta ushindani hiki chama sitokisahau kilipo mpunja mzee wangu badala apate m150 wakampa 70 amefuatilia saiz mwaka wa 9 na hakuna kinacho endelea kamaWanatakiwa kukisimamia kibadilike lakini siyo kushangilia kikishughulikiwa na serikali.
Workers union zikidhoofishwa na serikali wafanyakazi wanakuwa watumwa, na hakuna wa kuwatetea.
Mbona kipindi cha kina Mkoba kilikuwa active kupigania maslahi ya walimu kuliko union zote nchini ?
Sheria ya Ajira na mahusiano kazini inatoa mwanya huo wa kukata hata Kama siyo mwanachama.Ni uhuni wanafanya nenda kwa afisa utumishi wako jitoe
Anayeingiza Makato ya LAZIMA ya MISHAHARA kwenda vyama vya wafanyakazi ni MWAJIRI/SERIKALILakin nadhani Kuna namna serikali inaifaid hii michango Kwa kuwakandamiza walimu wetu sio bure