Line zao zinapatikana wapi mkuu za chuo mitaani zipo?Kama unatumia simu ya 4G na upo Dar nakushauri tu utumie Zantel kwenye data. Hawa jamaa ni hatari sana aisee. Binafsi nateleza na bundle za chuo GB 10.5 Kwa tsh 10,000 mwezi mzima. Halotel wamejisahau nimewakimbia
Na sisi tunao tumia Gb7 kwa efu 5 tu TTCLKama unatumia simu ya 4G na upo Dar nakushauri tu utumie Zantel kwenye data. Hawa jamaa ni hatari sana aisee. Binafsi nateleza na bundle za chuo GB 10.5 Kwa tsh 10,000 mwezi mzima. Halotel wamejisahau nimewakimbia
Speed vpKama unatumia simu ya 4G na upo Dar nakushauri tu utumie Zantel kwenye data. Hawa jamaa ni hatari sana aisee. Binafsi nateleza na bundle za chuo GB 10.5 Kwa tsh 10,000 mwezi mzima. Halotel wamejisahau nimewakimbia
Ttcl mwishoNa sisi tunao tumia Gb7 kwa efu 5 tu TTCL
Uki tia msimbazi una 14Gb tusemeje sasa na kasi yake sio mchezo


TTCL wanazingua kuna site wana zi bann usipakue kitu hasa za kupakua korean drama nyingi zinazingua na hii wameanza karibuni tu huu mchezo maana kipindi hiko ilikuwa poa tu kupitia lile bundle ya TOBOA PACK kwa 1000 GB 10Na sisi tunao tumia Gb7 kwa efu 5 tu TTCL
Uki tia msimbazi una 14Gb tusemeje sasa na kasi yake sio mchezo