Hongereni sana Kampuni ya usafirishaji Kimbinyiko

lunyiliko

Senior Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
171
Reaction score
79
Naomba ku-declare interest mimi sina uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya Usafirishaji Kimbinyiko. Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara kutoka Dar kwenda Dodoma and vice versa. Mabasi ya hii kampuni ni classic, huduma safi, wahudumu wachangamfu na nadhifu, ukiketi kitini unaweza kudhania upo ndani ya ndege. Kwa kweli mpo vizuri sana. Big up sana Kimbinyiko bus services. Mnyonge myongeni....
 
Hypocrisy will kill you one day!
 
Lipia Tangazo
Hili sio tangazo. Mimi ni mtumiaji wa huduma. So, i'm free to give out my opinions which perhaps may act as catalyst for others. Tunahitaji ubunifu kama wa hawa jamaaa ili tuweze kupiga hatua.
 
Naomba ku-declare interest mimi sina uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya Usafirishaji Kimbinyiko. Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara kutoka Dar kwenda Dodoma and vice versa. Mabasi ya hii kampuni ni classic, huduma safi, wahudumu wachangamfu na nadhifu, ukiketi kitini unaweza kudhania upo ndani ya ndege. Kwa kweli mpo vizuri sana. Big up sana Kimbinyiko bus services. Mnyonge myongeni....
Sasa mbona hicho kiti cha kulia hapo pembeni ya huyo mhudumu kina vumbi hvyo mkuu
 
Dar Lux, Kilimanjaro na Dar Express huduma hovyo kabisa.
Tahmeed,Shabiby na New Force wanajitahidi
 
Nakibaliana na mleta mada, nilipanda huu usafiri mwanzoni mwa mwaka huu kurudi Dar.

Ila mwaka 2015 na 2017 nilipandaga pia usafiri wa kampuni hii, nadhani huenda ikawa ndio bora zaidi kwa route ya dodoma japo wapo wanaosema ABC nao wapo vizuri mno.

Kwa route hii nimepanda Safari Njema na Super Baraka ila bado naona Kimbinyiko ni wazuri ila kwa mwendo super baraka ni wazima.
 
Dar Lux, Kilimanjaro na Dar Express huduma hovyo kabisa.
Tahmeed,Shabiby na New Force wanajitahidi
Shabiby wathenge tu leo nimepanda toka dar kwenda arusha kufika moshi wakatuweka nusu saa afu wakasema wameahirisha hawafiki arusha wakatufaulisha kwenye mngalangala uliotoka kijiji...siwaheshimu tena
 
Shabiby ana bus za Dar Arusha?
 
Back
Top Bottom