Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,766
- 92,209
Nimefurahi sana sana kufungua PC yangu leo nakukuta kuna hio video option ya habari hapo juu, sijui tuuite JF TV au inaitwaje sijui ila hongereni sana sana. Pengine option hii ya taarifa ya habari kwa video ingeweza pia kuwekwa kwenye Mobile app ingekua nzuri Zaidi.
Pia kama kutakua na sub-titles za kiingereza itakua bora sana na huko mbeleni mkaweka na za kiarabu na kifaransa na n.k
So far hongereni sana sana
Pia kama kutakua na sub-titles za kiingereza itakua bora sana na huko mbeleni mkaweka na za kiarabu na kifaransa na n.k
So far hongereni sana sana