Naipenda hii Radio maana nakumbuka mbali sana kipindi hicho inawatangazaji hawa.
Fred war
Sauda Mwilima
Zuberi Msabaa
Deokaji Makomba
Juma Ahmed Baragaza
Felister Kunigela
Erica Elias
Mtani Wambura
Rahabu Ufungo
Glory Mtoto wa mama Sabuni
Baruani Mhuza
Rebecca Molesi
Hii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu😂
Prince Baina Kamukulu (RIP)
Huyu mwamba alikuwa anautendea haki mziki wa kihindi.
Enzi hizo watangazaji walikuwa ni watu maarufu sana ila life yao ilikuwa inasikitisha sana waajiri walikuwa wanawanyonya!
Mwaka 2015 niligumiana na Baina kwenye kijigrocery, kiukweli alikuwa anatia huruma sana make hakuwa na hata mia mbovu ya kinywaji ila daily ukienda kwenye ile grocery unamkuta kachill asikilizia ofa za bia kwa washkaji.

Hii redio, Dialo angeikodisha tu, imeshamshinda kuendesha,, nadhani hapati matangazo ya kutosha, na hata kamari hailipi kivile, watu wamejanjaruka sana, awape chadema kwa mkataba maslumu[emoji23]