Kweli kabisa ndugu, nakupongeza sana kwa kulisema hilo... Tanzania ni shidaaa... Yale magazeti yote tuliyokua tuna yanaheshimu yamekua majanga... Mpaka unajiuliza nini kimewapata... Hakuna Nipashe, Mwananchi wala Mawio... Yote yamekua usanii mtupu... Wanafikiri wote tuna maslahi kwa Lowasa au CCM... Hawaoni kwamba kuna wengine hatumjui Lowasa wala Magufuli na tunahitaji balanced stories ili tukamilishe ma amuzi yetu, SHAME ON THEM. Niwapongeze sana RAIA MWEMA gazeti pekee lililo simama imara na mtu mwenye akili timamu unaweza kulisoma kwa sasa... Hongereni sana and please msibadilike, ndio tegemeo kwa sasa, wengine wote njaa tupu..,