YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
tangia fisadi bahari lowasa ahamie chadema magazeti ya kila wiko yaliyokuwa yanaaminiwa na kunuliwa sana yamechukua uelekeo tofauti. waandishi wengi wa raia mwema hawajapendezwa na habari ya chadema kumpokea lowasa, na wanachambua vizuri na kujenga hoja.
gazeti la mawio limeshabebwa na mafuriko ya pesa ya fisadi bahari lowasa, hata said kubenea ambaye toka gazeti la mwanahalisi alishaandika makala zaidi ya 1500 akimchambua na kumkejeli lowasa nae anamsifia lowasa.
binafsi nawapongeza gazeti la raia mwema na raia tanzania kwa kuendelea kuandika pande zote mbili za habari.
nawapa pole sana mawio, najua baada ya Oct lowasa akishashindwa uchaguzi mtapungukiwa sana mauzo, mmeanza andika habari kama za gazeti la uhuru ambalo linapendelea ccm katika kila habari.
poleni sana mawio, pole sana said kubenea. naona wala matapishi yako hadi yale yaliyoweka funza tayari, kumbe na wewe unabei yako, naona fisadi lowasa kaifikia bei yako

Kweli kabisa ndugu, nakupongeza sana kwa kulisema hilo... Tanzania ni shidaaa... Yale magazeti yote tuliyokua tuna yanaheshimu yamekua majanga... Mpaka unajiuliza nini kimewapata... Hakuna Nipashe, Mwananchi wala Mawio... Yote yamekua usanii mtupu... Wanafikiri wote tuna maslahi kwa Lowasa au CCM... Hawaoni kwamba kuna wengine hatumjui Lowasa wala Magufuli na tunahitaji balanced stories ili tukamilishe ma amuzi yetu, SHAME ON THEM. Niwapongeze sana RAIA MWEMA gazeti pekee lililo simama imara na mtu mwenye akili timamu unaweza kulisoma kwa sasa... Hongereni sana and please msibadilike, ndio tegemeo kwa sasa, wengine wote njaa tupu..,
Mbona huongelei magazeti yenu ya propaganda ya 'kufa mtu' ya Uhuru na Habari leo?tangia fisadi bahari lowasa ahamie chadema magazeti ya kila wiko yaliyokuwa yanaaminiwa na kunuliwa sana yamechukua uelekeo tofauti. waandishi wengi wa raia mwema hawajapendezwa na habari ya chadema kumpokea lowasa, na wanachambua vizuri na kujenga hoja.
gazeti la mawio limeshabebwa na mafuriko ya pesa ya fisadi bahari lowasa, hata said kubenea ambaye toka gazeti la mwanahalisi alishaandika makala zaidi ya 1500 akimchambua na kumkejeli lowasa nae anamsifia lowasa.
binafsi nawapongeza gazeti la raia mwema na raia tanzania kwa kuendelea kuandika pande zote mbili za habari.
nawapa pole sana mawio, najua baada ya Oct lowasa akishashindwa uchaguzi mtapungukiwa sana mauzo, mmeanza andika habari kama za gazeti la uhuru ambalo linapendelea ccm katika kila habari.
poleni sana mawio, pole sana said kubenea. naona wala matapishi yako hadi yale yaliyoweka funza tayari, kumbe na wewe unabei yako, naona fisadi lowasa kaifikia bei yako
tangia fisadi bahari lowasa ahamie chadema magazeti ya kila wiko yaliyokuwa yanaaminiwa na kunuliwa sana yamechukua uelekeo tofauti. waandishi wengi wa raia mwema hawajapendezwa na habari ya chadema kumpokea lowasa, na wanachambua vizuri na kujenga hoja.
gazeti la mawio limeshabebwa na mafuriko ya pesa ya fisadi bahari lowasa, hata said kubenea ambaye toka gazeti la mwanahalisi alishaandika makala zaidi ya 1500 akimchambua na kumkejeli lowasa nae anamsifia lowasa.
binafsi nawapongeza gazeti la raia mwema na raia tanzania kwa kuendelea kuandika pande zote mbili za habari.
nawapa pole sana mawio, najua baada ya Oct lowasa akishashindwa uchaguzi mtapungukiwa sana mauzo, mmeanza andika habari kama za gazeti la uhuru ambalo linapendelea ccm katika kila habari.
poleni sana mawio, pole sana said kubenea. naona wala matapishi yako hadi yale yaliyoweka funza tayari, kumbe na wewe unabei yako, naona fisadi lowasa kaifikia bei yako
Kwenye media kapiga bao Lowasa lakini sina hakika na dhamira yake au kama anania njema na nchi hii au ndio uroho wa madaraka coz kakatwa na kamati kuu anakisebusebu na kiroho papo.