Hongereni mipango miji Dar, Mnazi mmoja inang'ara!

Hongereni mipango miji Dar, Mnazi mmoja inang'ara!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Hio hapo.., mmefanya kazi nzuri!

1374053_1573182699567712_9106477964786228259_n.jpg
 
Ni kweli kizuri hakikosi doa kuna sisi huku tunakufaa njaaaa kabishara kangu kamechukuliwa na kamgambo sasa naanzaga tena upya
 
Dae ukiangalia kwa juu unaweza ukasema inang'ara na ni bonge la jiji ila ingia ndini kwa chini ndio utajua, DAR ni chafu kwakweli, habu piteni pale ubungo muone- ule uchafu huwa unanukera lakini sina cha kufanya maana siwezi kusafisha jiji mwenyewe
 
Hiyo itakua jumapili....tena hapo ni mnazi mmoja..
Naomba ya round about uhuru
 
Kariakoo gani hiyo bahari inaonekana kwa karibu hivyo? Hivi Kariakoo inafika hadi maeneo ya Water Front?
 
Sirikali ilijaribu kwa kuwaondosha maafisa wakongwe jijini na kuwatupa mikoani.
 
lakini uzuri wote huo hauwezi kuizidi kigali. kigali kuna magorofa mengi kuliko hapo dsm na pasafi kuliko hapo. dar kwa kigali ni chamtoto tu.
 
Dsm ni uchafu mtupu, labda kama unalinganisha na mikoa mingine ya Tanzania lkin ukiweka vitu kama Abuja Nairobi kigali unaweza ukaondoka kimya kimya mkuu.
 
Miundo mbinu bado inahitajika sana.

Ikinyesha mvua jinsi pedi na uchafu mwingine unavyotapakaa kutoka kwenye machemba kwa kweli ni mtihani sana
 
Hiyo itakua jumapili....tena hapo ni mnazi mmoja..
Naomba ya round about uhuru
Hamna picha iliyopigwa jumapili hapo, zote nimepiga siku za kawaida, ile ya skyline nimepiga kutokea manzese na nyingine jenge la ushirka pale mnazi mmoja.
 
Back
Top Bottom