Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
Aisee umenikumbusha mbali sana enzi za born city Dar - Arusha,enzi hizo tunatoka Arusha saa 12 jioni tunafika dar saa 10 Usiku ,chakula tunakula mombo yaani mombo ukipita usiku ni kama mchana vile kumechangamka balaa,aisee daraja la wami tunapita saa 7 au 8 usiku mnaanza kuamshana daa long time na mpinzani wa born city alikuwa anaitwa SMAA ,enzi hizo za nissan diesel ,enzi za isuzu,leyland,leyland daf
tukisema tunaonekana wabaya dar express zamani sio sasa ana basi moja tu zuri hadi ubahatisheMkuu falcon mombasa nisamehe kwa kutopanda Tahmeed leo frm Ars - Dsm. Nilisema nibadilishe ladha kwa kupanda hii dar express mpya ila nimeishia kujuta. Majuto haya ni karibu abiria wote. Zile siti ulisema ni kwa ajili ya watoto wa chekechea ndo nimekaa. Pia basi halijaondoka kwa muda... abiria karibu wote hawana furaha. NINAJUTA KUIPANDA HII DAR EXPRESS..
Acha uongo wewe jumanne nimetoka Dar nimepanda kilimanjaro la daraja la juu na huku tukifuata na matatu ya first classNext time upande tahmeed ndio iko certisfied na sumatra kwa kanda ya kaskazini kuwa ni bus za kifahari na hakuna kampuni nyingine yenye sticker hiyo zaidi tahmeed,sisifii tu bali nazungumza kitu ambacho kipo
tukisema tunaonekana wabaya dar express zamani sio sasa ana basi moja tu zuri hadi ubahatishe
kilimanjaro ni daraja la tatuAcha uongo wewe jumanne nimetoka Dar nimepanda kilimanjaro la daraja la juu na huku tukifuata na matatu ya first class
Nan kakuambia wwkilimanjaro ni daraja la tatu
kilimanjaro ni daraja la tatu
mbona tahmeed watu wanapanda sana tu mkuuKilimanjaro Express wana basi mpya certified full luxury na Sumatra (falcon mombasa) ila wana utapeli unapoenda kukata tiketi hawakuandikiii namba ya basi isipokua kwa zile luxury zenye choo (ambacho huruhusiwi kunya ni kukojoa tu) na AC. So ukifika siku ya safari unajikuta umepanda mkweche au zuri. Pathetic!! Huwa situmii hiyo kampuni kabisa kwa huo ubabaishaji.
Hizo Tahmed bado sana kushika soko. Wanahitaji kubadili mindset ya wateja wa luxury chuga ambao kwao Scania ndo kila kitu.
Na hii imeanza zamani. Miaka ya mwishoni mwa themanini hadi tisini katikati kulikua na basi za kawaida zinaitwa Sawaya (Kilimanjaro ya sasa) zilikua Nissan Diesel. Basi pale wami ungependa zinavyokatwa na Scania kina Shabaha, Air Msae, Mapande, Dar Express n.k. Hizo Sawaya zilikua na ajali sana. Halafu kukawa na Tawfiq, Tawakal na mengineyo ya waarabu nayo Nissan Diesel. Wao ni taarabu full safari na miharufu ya tambuu na pariki. Fujo na maneno ya makonda wao ndo usiseme. Walau Tawfiq walikua wanapiga na mabuzuki.
Luxury zilizokuwepo zote Scania anzia kina Fresh ya Shamba hadi Dar Express.
Sasa hiyo huenda ilitengeneza blue print. Scania ndo luxury na ndo mwendo. Aina nyingine yoyote ni majanga.
asante bora ata umemjibu....... sasa me najiuliza tangu lini kilimanjaro likaingia stand ya chuga akati wanayo stand yao....!!Acha uongo kilimanjaro haitokeagi stendi ya arusha unajua ofisi zao zilipo? Au unataka kuwachafulia tu?
Sasa kama ni za majini kwanini zinatembea kwenye lami? Si zingeenda kwenye majini.Kuna mtu aliwahi kusema gari hizo unazozisifia ni za majiini. Hebu fafanua hili.
Ukija Arusha ntafutetukisema tunaonekana wabaya dar express zamani sio sasa ana basi moja tu zuri hadi ubahatishe
Lazma mtembeee na upako......sasa utakuta wanaweka taarabu shida sana.Aisee mkuu wanawekaga kwaya? Hiyo ruti bila hiyo kitu abiria wananuna
imeanza lini hii?Kuna gari inatoka Dar to Arusha=>Moshi inaitwa ESTHER ni fully Luxury
hahahaaaa best unajitoa ufahamu ee?Sasa kama ni za majini kwanini zinatembea kwenye lami? Si zingeenda kwenye majini.