silent kills
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 565
- 779
Wale mbuzi waliozoea ukitaja majina ya timu na wachezaji hawaoni ndani watataka uwashe taa..ila wazoefu wa ligi wanatambuana kwa jezi na aina ya uchezaji.mashabiki wengi leo watupunguza matusi maana hawajaelewa kashasha kasemaje hapa.big up