HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,206
sha lamba mkopo now
mkuu mm nilikua form 2. nlikua sijui kitu kuhusu mkopo sasa nimamaliza na nimepangiwa chuo degree level. naomba uniambie ilikuaje unisaidie kidogoHuu ni mwaka wa uchaguzi lazma wafanye hivyo,unashindwa hata kujiongeza kujua ki2 kidogo kama hicho.!
Kumbuka mwaka 2010 ilikuwaje.