Hongereni chadema!

Hongereni chadema!

Daniel Muhina

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Si rahisi kutoa pongezi hizi lakini nalazimika kusema hongereni sana. mmefanya kazi nzuri sana kwetu ss wa upande wa pili dhidi yenu, kwa miezi kadhaa Zzk amejitahidi kujipenyeza kwenye himaya zetu sina hakika sana ni kwa kiwago gani lakini ni kweli alijitahidi kujipenyeza! kwa kuwa Mungu bado anaipenda CCM amemuondoa asiendele na kazi hiyo- nasema tena hongereni saaaana,
 
Hebu funguka kidogo,alikuwa amejaribu vipi kujipenyeza hapo kwenu? Aliwaletea ile pesa haramu ama? Hebu rudi utujuze ilivyokuwa hapo kwenu.
 
Back
Top Bottom